TFF inakwepaje lawama kwa aibu ya Kitayose?

DIZZO MTAWALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
240
Reaction score
767
TIFUTIFU INAKWEPAJE LAWAMA KWA AIBU YA KITAYOSE

Watu wengi wamelazimishwa kuipa LAWAMA kitayose kwangu mimi tifutifu inatakiwa iwambwe kabisaa.

Kwanza kitengo cha biashara cha tifutifu kiliwezaje kuruhusu bidhaa yake ya Ligi kuu kupata aibu yaaani walijua lawama ni ya kitayose sio huku wakisahau kitayose ni asset kwenye bidhaa ya ligi kuu tena ligi ya 5 kwa ubora ilishindwaje kuziba ombwe la kitayose kwa kuwalipia ili kulinda bidhaa yake leo unafikiri aibu ni ya kitayose la hasha tifutifu na ligi kuu vimedhalilika sana.

Mbona wale wakubwa uto walipopigwa ban mliwalipia imeshindikanaje ama ndio tuseme timu 14 ni yatima
Hatujasahau mlipowaacha biashara utd wenyewe mpaka wakashindwa kusafiri kumalizia match hata baada ya kushinda 2 bila hapa nyumbani.

Kifupi tifutifu ni Baba anayeshindwa kumlea mwana anasubiri afanikiwe ndio ajitokeze na kujionesha ubaba dhaifu.

Nb: AIBU NI YA TIFUTIFU NA TAIFA KWA UJUMLA KITAYOSE NI KIWAKILISHI TU.

Screenshot_20230816-225852_Instagram.jpg
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
TIFUTIFU INAKWEPAJE LAWAMA KWA AIBU YA KITAYOSE

Watu wengi wamelazimishwa kuipa LAWAMA kitayose kwangu mimi tifutifu inatakiwa iwambwe kabisaa.

Kwanza kitengo cha biashara cha tifutifu kiliwezaje kuruhusu bidhaa yake ya Ligi kuu kupata aibu yaaani walijua lawama ni ya kitayose sio huku wakisahau kitayose ni asset kwenye bidhaa ya ligi kuu tena ligi ya 5 kwa ubora ilishindwaje kuziba ombwe la kitayose kwa kuwalipia ili kulinda bidhaa yake leo unafikiri aibu ni ya kitayose la hasha tifutifu na ligi kuu vimedhalilika sana.

Mbona wale wakubwa uto walipopigwa ban mliwalipia imeshindikanaje ama ndio tuseme timu 14 ni yatima
Hatujasahau mlipowaacha biashara utd wenyewe mpaka wakashindwa kusafiri kumalizia match hata baada ya kushinda 2 bila hapa nyumbani.

Kifupi tifutifu ni Baba anayeshindwa kumlea mwana anasubiri afanikiwe ndio ajitokeze na kujionesha ubaba dhaifu.

Nb: AIBU NI YA TIFUTIFU NA TAIFA KWA UJUMLA KITAYOSE NI KIWAKILISHI TU.
Umeandika tu historia lakini hujapoint a specific issue ambayo TFF inatakiwa iibebee lawama
 
Back
Top Bottom