Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijajua we ni timu gani..ila nahisi umetokea kule ambako wenye akili ni wawili tu.Kulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201
Ni kuweka sawa rekodiKulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201
Wengi wemeichukulia hii taarifa in negative way, lakini kufanya hivyo kwa TFF sio mbaya ikiwa ni kujaribu kuwakumbusha hasa viongozi wa timu mbalimbali kutojisahau kuingiza majina ya wachezaji wao wanaowasajili kwenye system.Kulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201
Wata update tu baadae timu zingine zikisajiljKulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201
Hawawezi ku update hiyo inawahusu timu zinazoshiriki michuano ya CAF interclub championship msimu wa 2023/2024 pekeeWata update tu baadae timu zingine zikisajilj
OkayHawawezi ku update hiyo inawahusu timu zinazoshiriki michuano ya CAF interclub championship msimu wa 2023/2024 pekee
Kidau na Karia hao ni kolo lialiaKulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201
Ama kweli UJINGA ni kipaji.
Hayo ni majina ya Wachezaji wanaosajiliwa Ili TFF ITUME taarifa za hivyo VILABU CAF.
HOVYO ni VILABU vinavyoshoriki mashindano ya CUF.
CAFCL.
CAFCC.
1. SIMBA.
2. YANGA.
3. AZAM.
4. SINGIDA FOUNTAIN GATE.
Bora UULIZE kuliko kuonyesha UJINGA WAKO HAPA.
YANGA WALIKUWA wamefungiwa KUSAJILI ndio maana hawakutuma jina hata Moja.
FICHA UJINGA KABWILI FC.
Huyo kolowizard umempa jibu analostahili.Wewe unamwambia mwenzio afiche ujinga na wakati nawewe umeonesha haujui kitu. Kama Yanga wanvekuwa hawaruhusiwi kusajili, basi wachezaji wa zamani ungewaona hapo. Kwahiyo kwa akili yako kama timu ikifungiwa kusajili basi haitakiwi kuwa na mchezaji hata mmoja hata kama ni wa zamani?
Hiyo unayoona hapo ni mfumo wa wakusajili wachezaji kwa njia ya mtandao ambapo kunakuwa na link kati ya TFF na CAF, hivyo Yanga bado hawawaingiza bado kwenye mfumo wachezaji wao, huku Azam wakiwa wameshaingiza wachezaji saba. Simba msimu huu hawakusajili wachezaji 24 mbona hukujiuliza ni vipi wamefika 24? Ni kwamba katika wachezaji watakaotumika na Simba mashindano ya CAF tayari wameshaingiza wachezaji 24. Yanga wangekuwa wamefungiwa wangekuwa wameingiza wachezaji wa zamani na kusingekuwa na sifuri hapo kama ndipo akili yako ndivyo ilikuwa inawaza kuhusu kufungiwa.
Kwa mashindanonya CAFKulikua na ulazima gani kuleta hii Chat sasa hivi halafu mnaweka team chache namna ina maana team zingine hazisajili? View attachment 2694201