TFF inapozuia watu kuvaa mavazi ya vyama siku ya mechi ya watani

TFF inapozuia watu kuvaa mavazi ya vyama siku ya mechi ya watani

Radhia Sweety

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,433
Reaction score
1,771
Eti kwenye gemu ya kesho ya Yanga na Ximba wa2 hawaruhuxiwi kuvaa nguo zinazoashiria ushabick wa vyama. Hii xi haki wazee. Wanajua xxm itaumbuka ndo maaaaaaaana.
 
Haah haah iko wazi ukivaa kikamanda unashangiliwa,ukivaa gunya unazomewa
 
We Lofa!.Sio Lazima Uanzishe Uzi Hata Kama Ni Wa Kipuuzi.Ndo Umeandika Nini Au Ulikua Unataka Uonekane Kua Na Wewe Umeanzisha Uzi.? Aya Tumeshauona Uzi Wako!.Ila Ondoa Huu Uchafu Wako Humu Unajaza Saver Tu.
 
Eti kwenye gemu ya kesho ya Yanga na Ximba wa2 hawaruhuxiwi kuvaa nguo zinazoashiria ushabick wa vyama. Hii xi haki wazee. Wanajua xxm itaumbuka ndo maaaaaaaana.

Alafu bado una utoto wako wa fb wa kuweka x sehemu ya s. Humu kuna wakubwa uwe na adabu au ujafunzwa.
 
amini nakwambia.nime''google---''washabiki wa ccm''...na hii ni moja ya results...
 
Attachments

  • ll.PNG
    ll.PNG
    158.3 KB · Views: 319
TFF wajanja sana wanajua kwa upande wa yanga ccm haiepukiki kutangazika.
Lakini sio kila shabiki wa yanga basi ni ccm hiyo ni issue nyingine.
Hata Mr. Ebbo (rip) alisema siyo kila mmasai ni shabiki wa Simba.
 
Binafsi nimeipokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii ya TFF ya kupiga marufuku kuvaa mavazi ya vyama au yenye muelekeo wa vyama fulani, ningependa kujuzwa kuhusu timu yangu ambayo Jezi zake zina muelekeo wa moja kwa moja na Chama
fulani.

Tunawaomba TFF kipindi hiki cha kampeni watuache huru kwani ipo siku maalumu ambayo tumezuiwa kufanya hivyo nayo ni ile siku ya kupiga kura, vinginevyo siioni mantiki ya TFF kuzuia uvaaji wa nguo hizo katika kipindi hiki cha kampeni kwani itakuwa inakipendelea zaidi chama fulani kwa upande wa mavazi.
 
Eti kwenye gemu ya kesho ya Yanga na Ximba wa2 hawaruhuxiwi kuvaa nguo zinazoashiria ushabick wa vyama. Hii xi haki wazee. Wanajua xxm itaumbuka ndo maaaaaaaana.

This is too much. Basata wanakataza miziki, tff inakataza nguo, polisi wanakataza maboksi, halmashauri zinakataza watu kukodi kumbi za harusi bila kibali. Kwani nchi iko vitani?
 
Back
Top Bottom