Sidhani kama hawa jamaa wa vilabu wamejiandaa kuunda hiyo kampuni,nina wasiwasi huenda hiyo kampuni nayo ikazidi kuleta matatizoMkuu ndiyo sababu vilabu vinalilia uanzishwaji wa kampuni kwa ajili ya kusimamia ligi.
wanataka mapato ya SIMBA na YEBOKatika kukuza na kuendeleza nyanja ya mpira wa miguu nchini nipamoja na kuonesha mchezo huo katika vyombo vya habari asa runinga za kimataifa na zakitaifa.
Inakuwaje hapa Tanzania TFF inashindwa ata kurusha mechi kupitia runinga za ndani au za nje.Ukienda Uganda au Kenya mechi nyingi za rigi kuu zinarushwa na ata kupitia Dstv.Je TFF hamuoni kuwa na sisi Tz ni muda sahihi kufanya hivyo?Kama hamuwezi,je mmejaribu na mkashindwa?