TFF inatuingiza hasara tena

TFF inatuingiza hasara tena

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,150
Watu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu

TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga mechi makusudi ili mfaidike, mvimbishe matumbo yenu.

Kwani mgesubiri derby ipite mkaleta mabango ya GSM mngepungukiwa nini?

Itoshe kusema mpira wetu unaongozwa na watu WAPUMBAVU mno, kunafanyika mambo ya aibu sana kwenye soka letu.

Ikumbukwe mlisema mkataba unahusu TFF na GSM vipi leo mnalazimisha klabu zihusike? Na mlichimba mkwara mzito kua mkataba usijadiliwe!

Na nyie GSM mmeshindwa kuifanya yanga kua imara mnakuja kuharibu mpira tena, mliahidi Yanga asipokua bingwa muulizwe nyie mkashindwa leo mmeona mtumie fedha kuharibu mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haooo mbuluu kengee wana tafuta sababu ya kuweka mpira kwapani

Sasa ni hivi, kesho hakuna ruksa yoyote kwa makoloko fc kukimbia mechii, yaani tutawasaka nchi nzimaa na kuwaleta uwanjani kwa nguvuu, tunawajua nyie kuweka mpira kwapani
 
haooo mbuluu kengee wana tafuta sababu ya kuweka mpira kwapani

Sasa ni hivi, kesho hakuna ruksa yoyote ya kukimbia mechii, yaani tutawasaka nchi nzimaa na kuwaleta uwanjani kwa nguvuu
Hiiiiiiiiii mnajikuta mnaogopwaaa??
 
Watu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu

TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga mechi makusudi ili mfaidike, mvimbishe matumbo yenu.

Kwani mgesubiri derby ipite mkaleta mabango ya GSM mngepungukiwa nini?

Itoshe kusema mpira wetu unaongozwa na watu WAPUMBAVU mno, kunafanyika mambo ya aibu sana kwenye soka letu.

Ikumbukwe mlisema mkataba unahusu TFF na GSM vipi leo mnalazimisha klabu zihusike? Na mlichimba mkwara mzito kua mkataba usijadiliwe!

Na nyie GSM mmeshindwa kuifanya yanga kua imara mnakuja kuharibu mpira tena, mliahidi Yanga asipokua bingwa muulizwe nyie mkashindwa leo mmeona mtumie fedha kuharibu mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yao
 
Wametoa mibango yao

IMG-20211210-WA0022.jpg

IMG-20211210-WA0021.jpg
 
Wewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yao
NI MPUMBAVU TU ATAKAYEKUBALI KUVAA NEMBO YA KIT SUPPLIER WA UTOPOLO KWA MILION 60 KWA MWAKA(5 MILLIONS A MONTH) IINGILIANE NA KIT SUPPLIER WAKE VUNJA BEI ANAYETOA 0NE BILION A YEAR(85 MILLIONS A MONTH)

SHERIA NAMBA 16 YA BODI YA LIGI IANSEMA NEMBO ITAKAYOVALIWA NI YA MDHAMINI MKUU TU(NBC) TENA KWA RANGI HALISI HAPO KUNA MAJITU YALIKTAA HADI RANGI

KABLA SIJAINGIA HATA KWENYA MAUDHUI YA MKATABA WENYEWE YALIYOWEKWA SIRI HADI SASA NAKUKUMBUSHA TU CO SPONSORS HAWAKAI KWENYE JEZI, LAST YEAR KBC ALIISHIA KWENYE MABANGO TU

NAFIKIRI ZIANZE PLANS ZA KUHAMIA RWANDAN LEAGUE ,HOME SHOPPING CENTRE WASHAANZA YALE WALIYOYAZOEAGA BANDARINI MIAKA ILEEE
 
Wewe unaongea utumbo gani? Mlianzia kwenye logo ya gsm isikae kwenye jezi Leo tena mnaibuka amtaki kuyaona mabango ya gsm hivi mnazo akili timamu kweli nyie? Tff ashasaini mkataba tiyali na mabango ayo yatakuwepo kwenye kila mechi ya ligi kuu sasa Ina maana mtasusia mechi zote za ligi? Naona viongozi wa simba wanatumia hili sakata Kama kichaka cha kukwepa aibu iliyoko mbele yao
"Tunapenda kusisitiza mkataba ni kati ya TFF na GSM group" Barua ya TFF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tumesafiri kufata derby
Tumelipia ving'amuzi
Tumelipia tiketi ya mechi
Tumesafirisha michepuko
Tumewaandaa watoto wetu waone derby
Tumebet pesa zetu

TFF mkishirikiana na GSM mmeamua kuvuruga mechi makusudi ili mfaidike, mvimbishe matumbo yenu.

Kwani mgesubiri derby ipite mkaleta mabango ya GSM mngepungukiwa nini?

Itoshe kusema mpira wetu unaongozwa na watu WAPUMBAVU mno, kunafanyika mambo ya aibu sana kwenye soka letu.

Ikumbukwe mlisema mkataba unahusu TFF na GSM vipi leo mnalazimisha klabu zihusike? Na mlichimba mkwara mzito kua mkataba usijadiliwe!

Na nyie GSM mmeshindwa kuifanya yanga kua imara mnakuja kuharibu mpira tena, mliahidi Yanga asipokua bingwa muulizwe nyie mkashindwa leo mmeona mtumie fedha kuharibu mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
GSM ameamua kutumia hela zake chafu kuivuruga ligi yetu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom