E Euphransia JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 937 Reaction score 778 Apr 23, 2017 #1 Nashauri Kamati ya Sheria za soka ya TFF ipige marufuku timu kukata Rufaa Na hata kama mchezaji ameonyeshwa kadi 100 acheze tu kwani hakuna kulalamika.Sheria itasaidia kuinua Kiwango cha soka letu.
Nashauri Kamati ya Sheria za soka ya TFF ipige marufuku timu kukata Rufaa Na hata kama mchezaji ameonyeshwa kadi 100 acheze tu kwani hakuna kulalamika.Sheria itasaidia kuinua Kiwango cha soka letu.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Apr 23, 2017 #2 Povu,mpira unachezwa Uwanjani hadharani sio kwenye meza za Protea Hotel.