TFF isiingize siasa za uchaguzi kwenye soka

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027


My take: Bw Malinzi, just take it on the chin, go back to your man and politely tell him "Kaka, kimenuka.... Ingia mitini!"
 
CCM imeshazoea vya kunyonga! Umeona wenyewe wanazodoana kwa kutofuata kanuni katika mchakato wa kumpata mgombea wao.

Malinzi mtamlaumu bure tu.....upo uwezekano mkubwa tu kuwa kakubali shinikizo la "wenye" nchi ili kulinda kibarua chake hasa katika wakati ambao timu ya taifa ya mpira wa miguu haifanyi vizuri katika mashindano.

Yes anajua sio jambo sahihi lakini anajua pia consequences za kukataa "maombi" ya chama.
 
Ngoja aje amponze mgombea wenu unadhani watu wajinga hawazijui sheria za uchaguzi.
 
natoa rai kwa mashabiki watakao kuwepo uwanjani siku hiyo kumzomea huyo makufuli kwa nguvu zao zote
 
Magufulik wa kuwa ana akili nyepesi atakwenda uwanjanii..Malinzi hatuna muda wa kutoteza kuhangaika na wewe kwa kuwa uchaguzi ujao tunapigiga chini tunamrudisha Nyamlani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…