TFF itoe adhabu kali kwa Simba kwa kumchezesha mchezaji wa timu nyingine, Singida FG na kagoma waadhibiwe kwa udanganyifu

Nani kasema TFF walitoa idhini? Na je tutajuaje walitoa idhini baada ya kufanyiwa udanganyifu!
Kwa nini Kagoma hana haki ya kucheza Yanga ikiwa anamkataba na Yanga ?. Na je unaufahamu kuwa Kagoma analeseni ya kucheza Simba. Kagoma kawaigiza Cha kike Yanga narudi Tena Simba hausiki hapo.
 
Kwa nini Kagoma hana haki ya kucheza Yanga ikiwa anamkataba na Yanga ?. Na je unaufahamu kuwa Kagoma analeseni ya kucheza Simba. Kagoma kawaigiza Cha kike Yanga narudi Tena Simba hausiki hapo.
Ana haki na mkataba wa kucheza Yanga kama ambavyo amechagua kwenda Simba kwa sababu ya maslahi.Simba anahusika kwa kumchezesha mchezaji ambaye ana mkataba na Yanga.Anastahili adhabu kali iwe funzo kwa wengine.
 
Unasajili vipi na umefungiwa kusajili? Mnafaa kushushwa daraja mkacheze ndondo akili iwakae sawa, na j2 anakiwasha libya kama kawa
Hii ni case, (mapingamizi), baada ya ufukunyuki, kabla ya kufunga usajili
 
Hili suala la Kagoma litaonesha rangi kamili ya tff kama tawi la kolowizard. Tusubiri
 
 
Wewe utopolo TFF kupitia kamati zake huwa wanathibitisha uhalali wa mchezaji kwa timu husika.
Buyer & seller
 
Reactions: BRN
Yanga haijawahi kumsajiri Kagoma, ila wametapeliwa na Kagoma. Mwenye kustahili adhabu hapo ni Kagoma na Singida Black Star, siyo Simba.
 
Hiyo no hoja nyepesi na ya kitoto sana. Kwa hiyo ukifungiwa duka na TRA kisa hujalipa kodi, hauruhusiwi kuendelea kununua bidhaa na kuhifadhi store ili siku ukilipa kodi na kufungua duka uingize dukani?
Dah. Kumbe ukifungiwa usajili unasajili unaweka stoo?
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana 🤣🤣🤣
Duka na usajili wa mchezaji mbona na vitu viwili tofauti we 🐸
Sawa mchukue ni kagoma na point sita zote tukatwe na TFF😂😂
 
Sasa kama mlimsajiri kwa taratibu zote.
Mbona hajaripoti kambini kufanya majukumu yake ?

Hivi ukioa mwanamke si inakupasa umlete nyumbani kwako ?
Kagoma yuko Libya nendeni mkamchukue.
Yaani mnamnunua mchezaji kimya kimya halafu mnaanza kulalamika mitaani.
Kasoro ni yenu
 
Reactions: BRN
Huyu mwanasheria kanjanja kweli kweli anawaingiza mkenge Yanga kwa mara nyingine tena.
 
Sasa hilo swali wa kuulizwa ni Yanga au mhusika?? Alama 6 zinapaswa kukatwa kwa timu iliyomchezesha mchezaji ambaye ni mali ya timu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…