TFF iweke viwango vya viingilio chini ili tujaze uwanja mechi ya Taifa Stars

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
372
Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn tatizo linakuwaga kiingilio wanavyoweka hao TFF hawajali, mm siendagi uwanjani hata kama ikiwa simba na Yanga.

Lakini hii mechi imenipa mwamko sana nakuona kama inawezekana kuweka history.
Sasa waambieni hao TFF kitaani kuna wana wengi sana ambao kama kiingilio kikiwa chini tutajaa na kushangilia saana mpaka waganda wapagawe na ikumbukwe pale Taifa washangiliaji wengi ni wale akina sisi tunaokaa kwenye mzunguko juu huko na wala sio VIP.
Tafadhar tutendeeni m3ma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni wavivu sana kushangilia tunasubiri mpaka chenga au kanzu au tobo. Tunatakiwa kushangilia mwanzo mwisho no matter what
 
Kiingilio cha sh 2000 kama bado kipo juu kwako bora ulale tu nyumbani
 
Kiingilio kiwekwe cha chini ingawa hata hiki cha sasa kipo sawa. Ila mashabiki wa Simba waje nusu tu.
 
Kichwa cha habari chajitosheleza hapa naomba kuzimza na kamati ya Ushindi wa Stars ikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda, binafsi nimehamasika saana na ushawishi unaofanywa na kamati lkn tatizo linakuwaga kiingilio wanavyoweka hao TFF hawajali, mm siendagi uwanjani hata kama ikiwa simba na Yanga.

Lakini hii mechi imenipa mwamko sana nakuona kama inawezekana kuweka history.
Sasa waambieni hao TFF kitaani kuna wana wengi sana ambao kama kiingilio kikiwa chini tutajaa na kushangilia saana mpaka waganda wapagawe na ikumbukwe pale Taifa washangiliaji wengi ni wale akina sisi tunaokaa kwenye mzunguko juu huko na wala sio VIP.
Tafadhar tutendeeni m3ma.

Sent using Jamii Forums mobile app
ubaya we hii mechi lesotho akimfunga cape verde hata tushinde mia hatuendi mahali.
amunike na makonda 🙄🙄
 
Back
Top Bottom