TFF jezi mpya za Taifa Stars zitatoka lini?

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mwishoni mwa mwaka jana(2014) TFF walitangaza tenda kwa wabunifu mbalimbali kubuni jezi ya timu ya taifa ya Tanzania, hatamae zilitolewa sample mbalimbali TFF kupitia mtandao wao wakataka wananchi wapigie kura jezi wanaiona inafaa kutumika na taifa stars, waliahidi jezi hizo zitaanza kutumika january 2015 kama jezi rasmi za Tanzania.
Bahati mbaya hadi leo mwezi w 3 tunaenda wa 4 jezi hazijaanza kutumika na wala hakuna taarifa rasmi kuhusu project iyo, taifa stars imeendelea kutumia jezi za msaada kutoka Adidas ambazo kimsingi hazima utambulisho wa taifa. Rais wa TFF tunaomba majibu mchakato umeishia wapi? Na jezi zitaanza kutumika lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…