Nadhani wale waliokuwa wanalaumu kuwa aliipendelea Simba mechi flani, huenda wakaamini kuwa anachezesha mechi za kimkakati zenye maelekezo maaluma.Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini halitoshi build up imeanzia na foul dhidi ya mchezaji wa Tabora United na refa yuko Mita 4 toka kwenye tukio. Refa anafanya makusudi kuwaondoa Tabora mchezoni.
Kama ni lazima Tatu atumike kwenye soka basi mtafutieni kazini nyingine ofisini.
Tatu Malogo ni refa wa michongo, Yale makosa yaliyokua yakifanyika kati ya Refa wa kati na wasidizi wake ni mipango thabiti.Hafai hata kuchezesha UMISETA.
Ngoja tuone Kamati ya waamuzi itasemaje au tutaambiwa tunabagua wanawake?Tatu Malogo ni refa wa michongo, Yale makosa yaliyokua yakifanyika kati ya Refa wa kati na wasidizi wake ni mipango thabiti.
Ni mambo ya aibu na kuvunja moyo.
🤣🤣🤣🤣 Wanawake wanaweza lakini si kwa huyu kilaza Tatu!Ngoja tuone Kamati ya waamuzi itasemaje au tutaambiwa tunabagua wanawake?
Nyenyere unaitwa na Mama wa woteNawasalimu wote ndugu zangu. Jamani Nina shida na namba ya mtu anajiita Nyenyere humu. Naomba mwenye MAWASILIANI yake ANISAIDIE jamani. Nitashukuru sana. Ama naomba kama Nyenyere utaona post hii naomba unitafutie kaka yangu.
Atakua kapokea bahasha
Ya nchi hii?Huyu mama Kuna Club wananufaika nae sana alloo.