TFF kama mnampenda Sana Tatu Malogo mtafutieni kazi nyingine

Amezingua sana leo pamoja na wale wasichana wenzake. Itatokea siku watu watakosa uvumilivu, na hivyo kuishia tu kuwatandika ngumi.
 
Sawa huenda Tabora hawako vizuri kwenye huu mzunguko wa pili, ambapo umewa pelekea kucheza Playoff, lakini pia wana hujumiwa. kwa goli la kwanza la JKT ilikuwa foul mpira kipa aka daka akapiga mbele ilikuwa clear offside ndemla akafunga...! Goli la pili pia ilikuwa through ball mtu alikuwa offside pia...! Hii kuwaadhibu marefa haitoshi especially kwa mechi kama hizi zenye maumuzi ya mtu kubaki Ligi Kuu au lash!
 
TTF hawana waamuzi wenye weledi inawezekana tatizo liko kwa walimu ambapo hakuna monitoring and evaluation yaani hakuna muendelezo baada ya mafunzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…