TFF Kocha Emanuel Amunike hatufai kwani ameshaanza kuonyesha udhaifu wake mapema sana na atakuja Kutuponza mbeleni!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mpeni Timu ya Taifa Jamhuri Kihwelo na Fred Minziro na hakikisheni kuna ' motisha ' ya kutosha Taifa Stars tutashiriki AFCON na hata Kombe la Dunia bila matatizo wala shida yoyote. Nimemchunguza kwa muda mfupi huyu Kocha Amunike hatotufaa kwani ni ' mbaguzi ' na anaongozwa na ' chuki ' kwa Wachezaji.

Nawasilisha.
 
Ila sijui kama TFF waliangalia rekodi ya ufanisi katika shughuli ya ukocha au waliavutiwa na jina lake. Huyu bwana hana rekodi nzuri, ngoja tusubiri ila tuvumilie maumivu
 
Kiwhelu na minzilo perfect combination

Nakubaliana nawewe Mzee wa Mara
 
Ila sijui kama TFF waliangalia rekodi ya ufanisi katika shughuli ya ukocha au waliavutiwa na jina lake. Huyu bwana hana rekodi nzuri, ngoja tusubiri ila tuvumilie maumivu
Tatizo umeongea too general, hiyo rekodi mbaya ungetuwekea hapa na sisi tuzijue
 
Mpeni Timu ya Taifa Jamhuri Kihwelo na Fred Minziro na hakikisheni kuna ' motisha ' ya kutosha Taifa Stars tutashiriki AFCON na hata Kombe la Dunia bila matatizo wala shida yoyote. Nimemchunguza kwa muda mfupi huyu Kocha Amunike hatotufaa kwani ni ' mbaguzi ' na anaongozwa na ' chuki ' kwa Wachezaji.

Nawasilisha.

Ndo maana mpira wetu haufiki mbali kutokana na chuki zisizo za msingi alichofanya Amunike ni jambo mambo ya kubembeleza wachezaji yamepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom