GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hao ni Wapenzi wa Mikia Nye Nye Nyesasa huyu mgeni huo ubaguzi dhidi ya wachezaji ameanza lini? aisee wabongo kazi tunayo
Mpeni Timu ya Taifa Jamhuri Kihwelo na Fred Minziro na hakikisheni kuna ' motisha ' ya kutosha Taifa Stars tutashiriki AFCON na hata Kombe la Dunia bila matatizo wala shida yoyote. Nimemchunguza kwa muda mfupi huyu Kocha Amunike hatotufaa kwani ni ' mbaguzi ' na anaongozwa na ' chuki ' kwa Wachezaji.
Nawasilisha.
Tatizo umeongea too general, hiyo rekodi mbaya ungetuwekea hapa na sisi tuzijueIla sijui kama TFF waliangalia rekodi ya ufanisi katika shughuli ya ukocha au waliavutiwa na jina lake. Huyu bwana hana rekodi nzuri, ngoja tusubiri ila tuvumilie maumivu