Kuwa na adamuhabari mbaya kwa wanajangwani
tajiri mwenye facebook huvaa aina 1 vp kuna shidaKuna kocha anavaa shati moja mwaka mzima, ajiandae. Haiwezekani kocha wa timu ya ligi kuu anavaa kauka nikuvae..!
Hakuna lolote. Anatafutwa Mwinyi Zahera. Mwisho watasema asivae kapelo. Ili basi tu.Hapo kwenye Mavazi ya Heshima ndio kunapochanganya, hivi mavazi ya heshima ndio yapi?
Maana sisi wamasai vazi la heshima ni shuka bila kufuri aka pichu (ashaikum si matusi)
Simba kwa nini wamuogopa mcongo man namna hii?Hakuna lolote. Anatafutwa Mwinyi Zahera. Mwisho watasema asivae kapelo. Ili basi tu.
Waseme hivyo. Lakini hilo ni lake na Yanga sio tifuatifuaWamechukia Zahera kuvaa brand tofauti ndani ya ligi
Hao Tff wahuni si tunataka kumjua mdhamini mkuu wa ligi sio. Haya mambo ya sare itusaidie nn sisi