Uchafu wa Malinzi unababisha Tenga aonekane msafi, TFF chini ya Malinzi ina kashfa ya kupanga matokeo, sasa hivi kumekuwa na vipolo vingi ambavyo havina maelezo, timu inaenda kucheza ndondo nje ya nchi na kuwekewa kiporo. mwamuzi wa pembeni alikuwa upande wa Yanga ila wanasema mashabiki wa Coastal wamempigia jiwe. Viongozi wa Yanga wanaenda kumuambia mwamuzi amalize mpira.