NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Tff na Bodi ya ligi haya ni madudu makubwa Tena makubwa sana mliyoyaonesha ya kutoa orodha ya majina ya wanao wania hizo tuzo kabla ya ligi kufika tamati.
Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na "conclude" moja kwa moja kuwa tayali mna watu wenu mnataka kuwapa tuzo hata Kama hawastahili hizo tuzo.
Hatari sana.
Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na "conclude" moja kwa moja kuwa tayali mna watu wenu mnataka kuwapa tuzo hata Kama hawastahili hizo tuzo.
Hatari sana.