NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Labda hufatilii mpira wa ulaya ila ligi ya England wameshatangaza tayari na bado ligi haijaishaTff na Bodi ya ligi haya ni madudu makubwa Tena makubwa sana mliyoyaonesha ya kutoa orodha ya majina ya wanao wania hizo tuzo kabla ya ligi kufika tamati.
Bila kupepesa Macho NALIA NGWENA na "conclude" moja kwa moja kuwa tayali mna watu wenu mnataka kuwapa tuzo hata Kama hawastahili hizo tuzo.
Je huko ulaya waliotuzidi kima endeleo ya mpira hufanya hivyo??
Hatari sana.
Evidence [emoji3525]Labda hufatilii mpira wa ulaya ila ligi ya England wameshatangaza tayari na bado ligi haijaisha
We Malulumo(Marumo)tulia uekekezwe.🤔
Mashabiki wa yanga ni mashabiki maandaziLabda hufatilii mpira wa ulaya ila ligi ya England wameshatangaza tayari na bado ligi haijaisha
Kama alivyosema RageMashabiki wa yanga ni mashabiki maandazi
Uzi Kama huu mnachangia haraka haraka na Mimi ndiyo napenda sasAibu naona mimi kwa uzi huu.
Siwezi kukaa kimya.Vingine bora kukaa kimya ili kuepusha aibu ndogo ndogo
De gea golden grove