TFF kuwa kimya kimya kwa kauli ya Makonda ina maana gani?

Karia ndio walewale, kumbuka kauli yake kuhusu lissu.
Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.
 
Asas TFF na yenyewe si ni ccm,hujafahamu tu,,Unategemea watakanusha,,,?
Hata viongozi wakuu wa simba na yanga ni ccm,
Ndo maana vitu vingi vinakwamishwa kwa kuvamiwa na siasa,,
 
Mpira wa Tanzania ni takataka tu ngoja wengine tusubiri EPL na Uefa. Siasa ni everywhere. Ovyo kabisa.
 
Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.

Nadhani tunatakiwa kulifikisha hili suala huko. Seriously.
 
TFF yenyewe ni tawi la ccm pia, rejea kauli ya yule raisi wa tff dhidi ya Tundu Lissu
 
Karia ajitokeze aliweke hili sawa, vinginevyo watu wataripoti FIFA Kuwa timu hii wanayoitambua kama ya Taifa sivyo bali ni ya Chama kilicho madarakani kwa hila na kulingana na kanuni za FIFA nchi inaweza kufungiwa kushiriki.
Wkaria huyuhuyu aliyembeza lissu??
 
Walivyo iingilia tu starz ndipo hapohapo kama shabiki mzalendo nikainawa
 
Tafsiri yake wanamuogopa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…