TFF kuweni na huruma na mapato kwa timu

TFF kuweni na huruma na mapato kwa timu

loosimingori

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2017
Posts
920
Reaction score
1,145
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika.

Kilichofanya nilete huu uzi ni makato makubwa ambapo yamefanya timu mwenyeji kupata chini ya nusu ya fedha hizo

Hebu imagine DRFA wamechukua milioni 10,bodi ya ligi milioni 29,gharama za mchezo milioni 22,TFF milioni 16,garama za uwanja milioni 48 na BMT milioni 3.

Hivi kweli kuna ulazima taasisi kama DRFA na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo?bado garama za mchezo mneexaggerate sana na huku mnajua kabisa kuwa ligi haina mdhamini.

Afadhali hata baadhi ya hela wangepewa yanga maana nao pia wamechangia pakubwa mno kupatikana hayo mapato
 
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika.Kilichofanya nilete huu uzi ni makato makubwa ambapo yamefanya timu mwenyeji kupata chini ya nusu ya fedha hizo
Hebu imagine DRFA wamechukua milioni 10,bodi ya ligi milioni 29,gharama za mchezo milioni 22,TFF milioni 16,garama za uwanja milioni 48 na BMT milioni 3.Hivi kweli kuna ulazima taasisi kama DRFA na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo?bado garama za mchezo mneexaggerate sana na huku mnajua kabisa kuwa ligi haina mdhamini.Afadhali hata baadhi ya hela wangepewa yanga maana nao pia wamechangia pakubwa mno kupatikana hayo mapato
Naunga mkono hoja 100%, TFF na vyombo vyake wako pale kiupigaji tu. DRFA wanachukuwa mgao wa nini, Ligi ya mkoa haiwatoshi? Je wnasaidia kitu gani kuendekeza Mpira wa miguu hasa kwa vijana?
 
Hili na lenyewe linaitaji ‘mjadala wa kitaifa’ yaani jumla ya mapato 404.5 alafu mwenyeji anaambulia 194.9 yaani chini ya asilimia 50% ya mapato Yote ???, hatuna shida na VAT, ila hiyo mirija mingine hiyo ndiyo shida, haiwezekani football ndiyo ibebeshwe mizigo mizito ya makato sijui tfff, drfa, bmt, bodi, kamati, uwanja, mchezo, eeheeee, eheeee..,kwa kweli huuu ni zaidi ya ujambazi huuu
 
yani sioni tofauti ya bodi ya ligi na tff.ligi yenyewe haina sponsor lakini bado tff inashindwa kuzipigania timu kwenye mapato.hizo hela zilizokwenda tff ndio hapo hapo bodi ya ligi na drfa wangegawiwa
 
Naunga mkono hoja 100%, TFF na vyombo vyake wako pale kiupigaji tu. DRFA wanachukuwa mgao wa nini, Ligi ya mkoa haiwatoshi? Je wnasaidia kitu gani kuendekeza Mpira wa miguu hasa kwa vijana?
ndio maana trump anatuita shit hole countries yani ligi haina mdhamini na bado makato kibaao utadhani mshahara wa mtumishi unavyoshambuliwa
 
TFf wamekaa kama kikundi cha wahuni tu, na wala sio taasisi inayojielewa. Hata hivyo nchi hii iliharibiwa tangu zamani, ndio maana mambo kama haya yanachukuliwa ya kawaida sana. Na ukihoji hapo utaambiwa una njaa! Hilo suala lipo kikanuni! Tunainua mpira wa vijana! Na upuuzi upuuzi mwingi ndani yake.
Poor tff na magenge yao mengine ya upigaji.
 
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika.Kilichofanya nilete huu uzi ni makato makubwa ambapo yamefanya timu mwenyeji kupata chini ya nusu ya fedha hizo
Hebu imagine DRFA wamechukua milioni 10,bodi ya ligi milioni 29,gharama za mchezo milioni 22,TFF milioni 16,garama za uwanja milioni 48 na BMT milioni 3.Hivi kweli kuna ulazima taasisi kama DRFA na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo?bado garama za mchezo mneexaggerate sana na huku mnajua kabisa kuwa ligi haina mdhamini.Afadhali hata baadhi ya hela wangepewa yanga maana nao pia wamechangia pakubwa mno kupatikana hayo mapato
sasa mkuu cha ajabu ni nini mbona kila mechi hayo makato yapo?hayo makato yako kwenye asilimia tayari ikiwa pesa nyingi na makato yanakuwa makubwa vile vile!!na kuhusu yanga itakuwaje apate mapato wakati sheria ya sasa inasema mwenyeji ndio anachukua mapato yote???asubilie na yeye mechi ijayo!!makato mengine mfano ya kiwanja milioni 48!!!timu ndio zijifunze kuona umuhimu wa kuwa viwanja vyao wenyewe!!
 
mkuu ndio maana makato ya uwanja cjalaumu kivile ishu ni hao drfa na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo na ishu ya yanga nimeiweka tu kwa vile ni watani wangu na kwasasa kiuchumi hawapo vizuri sana hivyo ni bora wangesaidiwa kidogo
 
TFf wamekaa kama kikundi cha wahuni tu, na wala sio taasisi inayojielewa. Hata hivyo nchi hii iliharibiwa tangu zamani, ndio maana mambo kama haya yanachukuliwa ya kawaida sana. Na ukihoji hapo utaambiwa una njaa! Hilo suala lipo kikanuni! Tunainua mpira wa vijana! Na upuuzi upuuzi mwingi ndani yake.
Poor tff na magenge yao mengine ya upigaji.
uko sahihi mkuu
 
Naunga mkono hoja 100%, TFF na vyombo vyake wako pale kiupigaji tu. DRFA wanachukuwa mgao wa nini, Ligi ya mkoa haiwatoshi? Je wnasaidia kitu gani kuendekeza Mpira wa miguu hasa kwa vijana?
Kwa hali ya kiuchumi mliyonayo kwanini usiunge mkono hoja??! Nilitegemea hili toka kwako.
Huu utaratibu ulipitishwa na bodi ya ligi na kupewa baraka na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu (Yanga akiwemo). Hii inamaana haya yote yanayofanyika yana baraka zote.
Kwahiyo Mkuu, msilalamikie hii hali.. Chamsingi kwa sasa ni mpambane tu na hali zenu, huku mkisubiri mechi ijayo ambayo mtakua wenyeji. Ila kwa taarifa tu siku hiyo sisi mashabiki wa Mnyama mkali hatutakuja uwanjani 🙂🙂🙂

Nakala: loosimingori mkulu senkondo jonas amos na ndugu zao.
 
Timu hadi inaingia uwanjani basi bila shaka walikubaliana na hayo makato, kwahiyo sioni manaa ya sisi raia kulalamika wakati viongozi Wa timu huko wameridhika na kukubaliana na huo utaratibu
 
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika.Kilichofanya nilete huu uzi ni makato makubwa ambapo yamefanya timu mwenyeji kupata chini ya nusu ya fedha hizo
Hebu imagine DRFA wamechukua milioni 10,bodi ya ligi milioni 29,gharama za mchezo milioni 22,TFF milioni 16,garama za uwanja milioni 48 na BMT milioni 3.Hivi kweli kuna ulazima taasisi kama DRFA na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo?bado garama za mchezo mneexaggerate sana na huku mnajua kabisa kuwa ligi haina mdhamini.Afadhali hata baadhi ya hela wangepewa yanga maana nao pia wamechangia pakubwa mno kupatikana hayo mapato
Hiyo ni kiini macho tuu mkuu, TFF hujiendesha kwa mapato yatokanayo na mechi hiyo hivyo TFF wamekuza account yao na kuamua kuleta mgawanyiko km huo japo kiuhalisia sii wa kweli
 
Mhemko unakusumbua mkuu na hasira ya kutoa safe wakati ulikuwa na matokeo yako kichwani, ndiyo maana tuliwaambia mjiandae kisaiklojia, sasa ona ubongo umekuwa na mtindio sijui hadi mtakapo ifunga Yanga ndiyo utapata nafuu, pole sana mkuu. Siku nyingine msikubali kuogeshwa maji ya maiti na Sangoma.
Kwa hali ya kiuchumi mliyonayo kwanini usiunge mkono hoja??! Nilitegemea hili toka kwako.
Huu utaratibu ulipitishwa na bodi ya ligi na kupewa baraka na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu (Yanga akiwemo). Hii inamaana haya yote yanayofanyika yana baraka zote.
Kwahiyo Mkuu, msilalamikie hii hali.. Chamsingi kwa sasa ni mpambane tu na hali zenu, huku mkisubiri mechi ijayo ambayo mtakua wenyeji. Ila kwa taarifa tu siku hiyo sisi mashabiki wa Mnyama mkali hatutakuja uwanjani 🙂🙂🙂

Nakala: loosimingori mkulu senkondo jonas amos na ndugu zao.
 
Kwa hali ya kiuchumi mliyonayo kwanini usiunge mkono hoja??! Nilitegemea hili toka kwako.
Huu utaratibu ulipitishwa na bodi ya ligi na kupewa baraka na vilabu vyote vinavyoshiriki ligi kuu (Yanga akiwemo). Hii inamaana haya yote yanayofanyika yana baraka zote.
Kwahiyo Mkuu, msilalamikie hii hali.. Chamsingi kwa sasa ni mpambane tu na hali zenu, huku mkisubiri mechi ijayo ambayo mtakua wenyeji. Ila kwa taarifa tu siku hiyo sisi mashabiki wa Mnyama mkali hatutakuja uwanjani 🙂🙂🙂

Nakala: loosimingori mkulu senkondo jonas amos na ndugu zao.
Msije uwanjani kutunyima mapato au kukimbia kipigo?
Tunakuja na game plan nyingine kabisa. Beno golini na makipa wengine watakuwa full backs. The rest watakuwa likizo.
On a serious note, zile pesa za uwanja zitakuwa zetu tukiwa na viwanja vyetu!
Harafu kuna pesa za TFF na Bodi ya ligi. Huo wizi mtupu.
 
Hahaha.. Sawa Mkuu.

Kwa upande wetu, Simba SC tushaliona hilo, ndo mana hivi sasa mambo ni moto mitaa ya Bunju. Mafundi wako site masaa 24, kuhakikisha uwanja unakamilika haraka iwezekanavyo. Si mbaya mkatuiga.
 
Mhemko unakusumbua mkuu na hasira ya kutoa safe wakati ulikuwa na matokeo yako kichwani, ndiyo maana tuliwaambia mjiandae kisaiklojia, sasa ona ubongo umekuwa na mtindio sijui hadi mtakapo ifunga Yanga ndiyo utapata nafuu, pole sana mkuu. Siku nyingine msikubali kuogeshwa maji ya maiti na Sangoma.

Hahaha.. Mkuu mbona kama hauko sawa, kuna tatizo? Ni vyema tukielezena mapema ili tukusaidie, maana huko nyuma (kabla ya 30/09/2018) hukua hivi kabisa. Au zile vurugu za Mkude, Chama na Kotei pale katikati, ndo hazikukuacha salama?
Kuna mwenzako baada ya kuwa mkweli na kueleza ni kwa jinsi gani alivyoharibiwa.. Maana naye hakua hivi alivyo sasa. Sasa tunamtibu na anaendelea vizuri. Sasa kama nawe unatatizo tuelezane mapema.
 
mkuu ndio maana makato ya uwanja cjalaumu kivile ishu ni hao drfa na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo na ishu ya yanga nimeiweka tu kwa vile ni watani wangu na kwasasa kiuchumi hawapo vizuri sana hivyo ni bora wangesaidiwa kidogo
bora hata hao DRFA,angalau wanasimamia soka la mkoa ,kuliko hao sijui BODI YA LIGI, achukue chake tena TFF naye achue hapo ndio naona kuna shida!!tofauti yao ni nini?
 
kuna wakati nahisi hawa viongozi wa Simba na Yanga nao wanapata asilimia kadhaa kwenye huo mgao ndo maana wanakaa kimya TFF inapoziminya hizi team
 
Back
Top Bottom