loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
Jana nilibahatika kuwa miongoni mwa washabiki walioingia uwanja wa taifa kufuatilia mchezo kati ya simba na yanga.Kwa mujibu wa mamlaka husika jumla ya watu 50,168 waliingia uwanjani kutazama mechi hiyo.Mamlaka husika zinadai kwamba jumla ya sh.milioni 404,549,000 zilipatika.
Kilichofanya nilete huu uzi ni makato makubwa ambapo yamefanya timu mwenyeji kupata chini ya nusu ya fedha hizo
Hebu imagine DRFA wamechukua milioni 10,bodi ya ligi milioni 29,gharama za mchezo milioni 22,TFF milioni 16,garama za uwanja milioni 48 na BMT milioni 3.
Hivi kweli kuna ulazima taasisi kama DRFA na bodi ya ligi kuchukua hela nyingi hivyo?bado garama za mchezo mneexaggerate sana na huku mnajua kabisa kuwa ligi haina mdhamini.
Afadhali hata baadhi ya hela wangepewa yanga maana nao pia wamechangia pakubwa mno kupatikana hayo mapato