TFF kuweni na maamuzi magumu kwenye soka

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
tunaambiwa ili soka liendelee lazima kuwe na nidhamu ni lazima wadau wafuate sheria za mpira wa miguu kati ya wachezaji viongozi wa vilabu mashabiki na tff.
kwa mfano wakati ligi msimu uliopita simba ilitumia kanuni ambayo haikuwepo na bodi ya ligi kuizinisha mchezaji akiwa na kadi tatu za njano eti anaweza kuchagua mechi za kutumikia adhabu,yanga walipinga hiyo adhabu tff wamekaa kimya kabisa mpaka leo hakuna jibu.
sasa leo limekuja sakata la singano tff maamuzi yake yapo kiasa zaidi kuliko sheria.
kuna malalamiko mengi za timu viwanja vya ligi vingi vibovu japo kuna sheria 17 za mpira wa miguu kuhusu uwanja tff wamekaa kimya mpaka sasa sijasikia wakitoa maagizo baadhi ya viwanja kurekebishwa.

sasa nawauliza tff mnaendesha mpira wa miguu au mpo kupiga blabla.
yote hayo mnatakiwa mtoe maamuzi magumu kama mnavyozipiga faini za hela pale klabu au mchezaji amefanya makosa
 
Mkuu, uozo wa FIFA umekita mizizi kwenye vyama vya soka nchi mbalmbali. Maamuzi magumu hawawezi maana kila kitu kimegubikwa na rushwa.

Sakata la Singano ni dhahiri mchezaji kaonewa. Suala la kadi tatu ndiyo ilikuwa kichekesho cha mwaka. Sidhani kama Tenga angekubali upuuzi kama huo.
 
Na ww Sibonike ushabiki umekuzidi aisee.
 
Mkuu, uozo wa FIFA umekita mizizi kwenye vyama vya soka nchi mbalmbali. Maamuzi magumu hawawezi maana kila kitu kimegubikwa na rushwa.

Sakata la Singano ni dhahiri mchezaji kaonewa. Suala la kadi tatu ndiyo ilikuwa kichekesho cha mwaka. Sidhani kama Tenga angekubali upuuzi kama huo.
Angalau kuna nidhamu na uadilifu viwanjani kwenye Kombe la Dunia na like last Mabara! Uoza wa FIFA - kama kweli upo - ni kwenye kutafuna mkwanja wa pembeni!
 
Back
Top Bottom