TFF kuzindua jezi mpya za Timu za Taifa

hizo sio jezi za timu ya taifa ni timu ya tff rangi ya bendera ya taifa ni nyeusi kijani blue na njano iweje rangi nyekundu nyeupe ziwepo bure kabisa
 
Hii yote kuficha HAYALISM, ili watu tusahau hili GONJWA aliloleta kwenye institution ya nchi. So sad, watu tunashindwa kukemea, ingali mapema.
 
Tuwe wa kweli, alibuni hizi jezi, uwezo mdogo, jezi ya Taifa haiwezi kuwa kama ya kwenda kuchezea ngoma za kienyeji. Hizi wapeni dansa wa Diamond, hazina heszhima ya kuvaliwa na timu ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…