Jafari Haruna
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 347
- 961
Ni AibuKiukweli hapo sijui Waliwaza nini
UK, inachezwa uwanja wa Heshima
huku inapelekwa Kwenye pitch ya Ajabu
Uchawi mnao huko SumbawangaTanzania ni yetu sote. Acheni uchawi.
Yaani hali hiyo utegemee Soka safiHii kitu imenikera sana mpaka nimeona soka inaongozwa na vilaza. hivi sababu za msingi ni zipi
Kufa.Uchawi mnao huko Sumbawanga
Hapa tunazungumzia Uhalisia
Pitch gani hiyo
Akipanga Mungu hakuna NamnaKufa.
Tengenezeni timu ipande ligi kuu sio kukazania kuloga tu mpaka mmemloga rais wa TFF kawaletea fainali kwenye matopeTanzania ni yetu sote. Acheni uchawi.