mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
TFF ni jipu wakati umefika litumbuliwe.Nimekuwa nafuatilia sakata la mchezaji Kessy.Mchezaji huyu ameruhusiwa kuchezea Yanga hali TFF ikijua ana mgogoro Na Klabu yake ya Simba.TFF imekuwa chanzo ya migogoro ya Usajili Kwa kuruhusu wachezaji kuchezea vilabu wakati wana migogoro Na vilabu vyao.Nadhani wakati umefika Kwa Vilabu kuishtaki TFF kwenye Shirika la Mpira la dunia FIFA ili hatua za kuliadhibu zichukuliwe.