TFF kwanini mnapindisha Sheria za Usajili?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
TFF ni jipu wakati umefika litumbuliwe.Nimekuwa nafuatilia sakata la mchezaji Kessy.Mchezaji huyu ameruhusiwa kuchezea Yanga hali TFF ikijua ana mgogoro Na Klabu yake ya Simba.TFF imekuwa chanzo ya migogoro ya Usajili Kwa kuruhusu wachezaji kuchezea vilabu wakati wana migogoro Na vilabu vyao.Nadhani wakati umefika Kwa Vilabu kuishtaki TFF kwenye Shirika la Mpira la dunia FIFA ili hatua za kuliadhibu zichukuliwe.
 
Simba siku zote ni wa kukurupuka, kumbuka inshu za kina Mbuyu Twite, Kelvin Yondan, Ramadhan Singano na sasa Kessy.
 
Wamatopeni kazi ni kupiga selfie tu. Kumbukeni selfie ya Rage na Twite!
 
Haya bwana TP Mazembe 3 Yanga(Wakimataifa)1
 
Tatizo in ligi kuendeshwa kimazoe tu so kingine kinachotukwamisha tatizo sio sheria
 
Simba wakate rufaa kama wako sahihi, ila nadhani Kessy alimaliza kabisa mkataba na Simba
 
wengi wamejadili kiushabiki ila ukweli swala la kessy lilitakiwa limalizwe kabla ya kumuidhinisha kuchezea yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…