Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Rais wa Tff Jamal Malinzi,watanzania tulio wengu tulikuwa na matumaini makubwa pale ulipochaguliwa kuongoza taasisi hii ya sok hapa nchini.
Lakini hali imeendelea kuwa dhoofu kila kukicha hakuna kinacho leta matumaini kupandisha kiwango cha soka, hapa nchini.
Binafsi nakujua kuwa wewe ni mwana michezo ila sasa naamini kuwa mganga hajigangi,baada ya soka la bongo kuendelea kudidimia kaburini hadi sasa tunafungwa na wale tuliokuwa tunawafunga magoli hata 10.
Tunajua hujachelewa pangua wasaidizi waliokuzunguka waliopo ki maslahi zaidi,weka watu wanaolifahamu soka wachana na undugunization ili tuijenge soka la Tanzania.