Siyo kila kabila linafaa kutoa Rais. Kama urais wa TFF tu imekuwa mgogoro, itakuwaje tukimpa urais wa nchi yule mwenzake?Rais wa Tff Jamal Malinzi,watanzania tulio wengu tulikuwa na matumaini makubwa pale ulipochaguliwa kuongoza taasisi hii ya sok hapa nchini.
Lakini hali imeendelea kuwa dhoofu kila kukicha hakuna kinacho leta matumaini kupandisha kiwango cha soka, hapa nchini.
Binafsi nakujua kuwa wewe ni mwana michezo ila sasa naamini kuwa mganga hajigangi,baada ya soka la bongo kuendelea kudidimia kaburini hadi sasa tunafungwa na wale tuliokuwa tunawafunga magoli hata 10.
Tunajua hujachelewa pangua wasaidizi waliokuzunguka waliopo ki maslahi zaidi,weka watu wanaolifahamu soka wachana na undugunization ili tuijenge soka la Tanzania.
yule jamaa anayejenga barabara za kichinaMwenzake yupi tena mkuu kutoka bk anautaka uprezidaa tena?
Sina sababu ya kumtetea Malinzi wala kocha baada ya stars kuvurunda cosafa. Hatujaanza leo kufungwa tulikuwa mbali sana miaka ya 80's laikini saiv tuko mwisho. wenzetu wa Africa wanaelekea mwanza wamefika Dodoma sisi tunaelekea mwanza ndo tupo ubungo maziwa. we are going the opposite direction. ishu kubwa hapa ni mfumo mmbovu wa soka la bongo. CAG sijui kama huwa anafika TFF? accountability haipo TZ, hatuna tunachoweza.
Sina sababu ya kumtetea Malinzi wala kocha baada ya stars kuvurunda cosafa. Hatujaanza leo kufungwa tulikuwa mbali sana miaka ya 80's laikini saiv tuko mwisho. wenzetu wa Africa wanaelekea mwanza wamefika Dodoma sisi tunaelekea mwanza ndo tupo ubungo maziwa. we are going the opposite direction. ishu kubwa hapa ni mfumo mmbovu wa soka la bongo. CAG sijui kama huwa anafika TFF? accountability haipo TZ, hatuna tunachoweza.
Mkuu jamal malinzi alivyoingia tff,watanzania tulikuwa na imani naye sana,kumbe ndio soka letu tumelichimbia kaburi.kazi zao hapo tff ni kuanzisha bifu na club zinazowaeleza ukweli bila kuwaogopa.
Kuna watu wanalijua soka balaa hapa tz; hv kwanini TFF hamuwachukui vijana wale kama washauri naamini mkiwatumia mtafaidika mfano hawa shafii dauda, edga kibwana, issa maeda. Hawa jamaa wanaujua mpira nyinyi TFF kama hamuwaoni shaurizenu.
Japo malinzi na wenzake wameshindwa, ila we naye unataka kuleta masihara, ule uchambuzi wa hao uliowataja unakupa ujasiri wa kuibuka mbele ya watu kuwa hao wanaujua mpira?!!!!!!, hiyo wanayofanya ya post match analysis, hata wewe unaweza, kwani makosa yote yameshaonekana!! utakuta wanajifanya kumponda hata mourino, fergy, Gadiola!!! '' Eti pale angemtumia fulani hii mechi wangeshinda'!!!! Hao clouds fm, timu yao kwenye michezo ya mashirika huwa inaishia wapi?? wote hao na wengine wako radio EFM, ni shidaa tu, Afadhari kidogo yule mwl. KASHASHA, anapochambua mpira anazungumza kama kocha, technicality, hawa wengine wanashinda kwenye net na ku kariri majina ya wachezaji wa ulaya, akija kuyataja hapa mnaona bonge na analyst!!! we ukitaka kuwagundua kuwa hamna kitu wafuatilie uchambuzi wao kabla ya mechi husika, then baada ya mechi, utacheka ni vitu viwili tofauti kabisa, anabadilika tena!!! ohoo unajua pale alikosea kutumia formation ile, ahhhhaa!! mwanzoni ulisema yuko sawa!! Kidogo ulaya unakuta hawa ma football analyst, wengi ni makocha wastaafu, na wachezaji, hivyo wanajua nini wanachochambua, hapa kwetu, mtu ni mwanakwaya kanisani eti naye ni mchambuzi wa soka!! Bola hata mbwiga anajua nini anachochambua kwani ni mtoto wa uswazi na ame specialise kwenye NDONDO,.Mkuu kuwa mtaalamu wa soka ni kusomea kama mtu anavyosomea uhandisi, u daktari. Tatizo kubwa la Tz, kila kitu tunataka short cuts, wakikuona muongeaji sana tayari unapewa chaka, tulia hapo, na tatizo kubwa la tff ya sasa ni undugu, watu wenye sifa hawatumiki, madam ulikuwa mlengo ule wakati wa uchaguzi!! Kocha anatakiwa awe chini ya technical director, lakini kwa hapa Tz, mzungu hawezi kuwa chini ya mweusi, ila akiwa JULIO, AU MKWASA ni sawa!!! mala taifa stars MABEMENDO!! zile zile slogan za kule, BRN, MKUKUTA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, soka liendeshe hivyo?!!! mala jezi hizi ni mbaya, watu walikuwa wanapiga mpira wako kifua wazi!!! na hutoki, Mala jina haritishi watu, tubadirishe!! Hata timu muipe jina la WAREMBO, kama mpira upo upo tu, jina kitu gani? tuachane tu na soka bora hata tuwekeze nguvu kwenye vitu tunavyoweza kama UCHAWI NA FITINA,
mkuu umeandika ikaandikika.....Japo malinzi na wenzake wameshindwa, ila we naye unataka kuleta masihara, ule uchambuzi wa hao uliowataja unakupa ujasiri wa kuibuka mbele ya watu kuwa hao wanaujua mpira?!!!!!!, hiyo wanayofanya ya post match analysis, hata wewe unaweza, kwani makosa yote yameshaonekana!! utakuta wanajifanya kumponda hata mourino, fergy, Gadiola!!! '' Eti pale angemtumia fulani hii mechi wangeshinda'!!!! Hao clouds fm, timu yao kwenye michezo ya mashirika huwa inaishia wapi?? wote hao na wengine wako radio EFM, ni shidaa tu, Afadhari kidogo yule mwl. KASHASHA, anapochambua mpira anazungumza kama kocha, technicality, hawa wengine wanashinda kwenye net na ku kariri majina ya wachezaji wa ulaya, akija kuyataja hapa mnaona bonge na analyst!!! we ukitaka kuwagundua kuwa hamna kitu wafuatilie uchambuzi wao kabla ya mechi husika, then baada ya mechi, utacheka ni vitu viwili tofauti kabisa, anabadilika tena!!! ohoo unajua pale alikosea kutumia formation ile, ahhhhaa!! mwanzoni ulisema yuko sawa!! Kidogo ulaya unakuta hawa ma football analyst, wengi ni makocha wastaafu, na wachezaji, hivyo wanajua nini wanachochambua, hapa kwetu, mtu ni mwanakwaya kanisani eti naye ni mchambuzi wa soka!! Bola hata mbwiga anajua nini anachochambua kwani ni mtoto wa uswazi na ame specialise kwenye NDONDO,.Mkuu kuwa mtaalamu wa soka ni kusomea kama mtu anavyosomea uhandisi, u daktari. Tatizo kubwa la Tz, kila kitu tunataka short cuts, wakikuona muongeaji sana tayari unapewa chaka, tulia hapo, na tatizo kubwa la tff ya sasa ni undugu, watu wenye sifa hawatumiki, madam ulikuwa mlengo ule wakati wa uchaguzi!! Kocha anatakiwa awe chini ya technical director, lakini kwa hapa Tz, mzungu hawezi kuwa chini ya mweusi, ila akiwa JULIO, AU MKWASA ni sawa!!! mala taifa stars MABEMENDO!! zile zile slogan za kule, BRN, MKUKUTA, MKURABITA, KILIMO KWANZA, soka liendeshe hivyo?!!! mala jezi hizi ni mbaya, watu walikuwa wanapiga mpira wako kifua wazi!!! na hutoki, Mala jina haritishi watu, tubadirishe!! Hata timu muipe jina la WAREMBO, kama mpira upo upo tu, jina kitu gani? tuachane tu na soka bora hata tuwekeze nguvu kwenye vitu tunavyoweza kama UCHAWI NA FITINA,
we na we umeona ao ndo watu umetaja watu wale wale wa fursaKuna watu wanalijua soka balaa hapa tz; hv kwanini TFF hamuwachukui vijana wale kama washauri naamini mkiwatumia mtafaidika mfano hawa shafii dauda, edga kibwana, issa maeda. Hawa jamaa wanaujua mpira nyinyi TFF kama hamuwaoni shaurizenu.