TFF mdhamini ligi kuu 2019/2020 vipi?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...

Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,

Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
 
TFF ni ile ya Tanzania Fertilizer Factory au ipi hyo unayomaanisha. Mwaka wa viwanda huu hadi vya mbolea.
 
Huyu Wallace Karia na kile kikundi chake ni kazi sana kuwaelewa. Kama hawajitambui vile na wamekuwa wakichukulia mambo kwa wepesi sana.
 
tIFU tIFU WA nchi hiii ni taka taka
 
Labda iwe kampuni au shirika hewa. Kudhamini ligi ya Msomali yahitaji uwe kichaa.
 
Naona mpaka Sasa kimya ,jumamosi ni ngao ya hisani kuashiria ufunguzi wa ligi kuu...

Lakini naona TFF Wala hamna habari na kutangaza mdhamini, achilia mbali zawadi kwa mshindi wa mwaka Jana,

Hivi mnaona ugumu gani kujiuzulu kwenye hizo nafasi??
Hivi Ligi Ya Uingereza tangia mkataba wa Barclays uishe wamepata mdhamini mpya!?Ligi haiendi??FA wamejiuzulu??
 
Labda mzamini hataki kujitambulisha

Ngoja tusubili muda ni Hakimu mzuri
 
Bora makampuni yajikite kudhamini team moja kwa moja kuliko kumpa hela Karia na TFF yake
 
Hivi kweli timu zimeshindwa kushawishi makampuni makubwa kama pepsi cocacola halotel tigo voda kuwa udhamini
 
EPL sponsors hawa hapa:

Barclays, Carling, Cadbury, Nike, Tag Heuer and EA Sports.
Sasa hiyo ligi ya watu usije kufananisha na huku. Wenzetu wanaweka mipango kwa ajili ya ligi ya msimu ujao mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…