TFF mkome kudharau waandishi wa habari; ujio wa wakina Drogba

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Uongozi wote wa tff ,waziri wa michezo,na wote waliohusika na ujio wa timu ya taifa ya IVORY COAST kitendo mlichowafanyia waandishi wa habari tunaomba mkome kurudia uchafu mlliowafanyia waandisho wa habari;sisi watu wa kawaida atukuwa na umuhimu sana ila inasikitisha kwa jinsi mlivyowazalilisha hawa watu
hawa hawa wakiamua kuwasahau mnalia na kuanza kutambaa kwa magoti;hiyo ni timu kama nyingine acheni kubabaika na kutetemeka
je wangekuja brazil si ndio mngezima na uwanja wa ndege taa
hili liwe somo kwa waandishi hao viongozi wanajali sana pesa zao hawana kipya zaidi....
 
Niliuliza swali kwenye Chelsick thread. Tupe habari kumetokea nini?
 
wameishia kuomba radhi na waziri wao;huu ni upuzzi usiotakiwa kuendekezwa drogba na wengineo ni binadamu kama afande kova;iweje ffu wanawaogopa wachezaji kuliko kamanda wao'
anyway kesho wasubiri nani atawatngazia habari zao
 
Yaani unataka kutuambia kwamba Drog the Bar ameleta fujo bongo?
 
Drog the Bar hakufanya fujo bali: Subutu afanye fujo angeshughulikiwa kisawasawa;





IVORY Coast star striker Didier Drogba (right), holds Aahil Ladhan at the Kilimanjaro Hotel Kempinski in Dar es Salaam today. Ladhan is a 12-year old boy, who travelled all the way from Mwanza to Dar es Salaam to see the Ivory Coast star studded squad. (Photo by Yusuf Badi)


Chaos as Ivory Coast arrive



ABRUPT commotion erupted at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam this evening , as star-studded Ivory Coast jetted in to set up a week-long camp before travelling to Angola for Nations Cup finals.


Shida zote hizi ni kina Peasant Kigogo Masanilo na Invisible AB. Msisahau kutuletea streamming ya mechi baadaye leo.
 
na ninyi waandishi wa habari wa TZ mmezidi kimbelembele hampendi kufuata utaratibu...kwabni msipoandika habari si na sisi hatutanunua magazeti then mtakula ujeuri wenu....msitutishe hapa...hamsikii kama watoto wa shule ndo maana mnapigwa virungu....
 
na ninyi waandishi wa habari wa TZ mmezidi kimbelembele hampendi kufuata utaratibu...kwabni msipoandika habari si na sisi hatutanunua magazeti then mtakula ujeuri wenu....msitutishe hapa...hamsikii kama watoto wa shule ndo maana mnapigwa virungu....

Kigogo kama upo Dar nenda uwanja kawashangilie Stars angalia usije jisahau na kumshangilia Drogba ha ha!
 
na ninyi waandishi wa habari wa TZ mmezidi kimbelembele hampendi kufuata utaratibu...kwabni msipoandika habari si na sisi hatutanunua magazeti then mtakula ujeuri wenu....msitutishe hapa...hamsikii kama watoto wa shule ndo maana mnapigwa virungu....

Waambie hao wamezidi bwana,kuwa mwandisshi wa habari si kwamba hautakiwi kufuata utaratibu bana,baelezee..Yaani huyu bwana hana hata aibu kuja na mkwara wake mbuzi huu kwa TFF,kama vp msiandike tu hizo habari,mnatishia nyau kwnye dunia hii ya leo ya mtandao ambapo watu tunapata news(kupitia vyombo kama JF) kabla hata ninyi hamjapata...Lol
 
Hekima ni kitu chema lakini wengi wamekikosa ikiwa ni pamoja na baadhi ya waandishi wa habari katika vyombo vingi vya habari huko Tanzania.

Ninasikitika kila mara nikiona waandishi wa habari wakitakiwa kufuata utaratibu wanafikiria kuwa wananyanyaswa. Kila mahali pa kazi lazima kuwe na utaratibu hivyo wajione kuwa wapo kazini na wanapaswa kufuata utaratibu siyo kuleta .......

Naamini hekima ya kawaida itawaongoza ninyi waandishi wa habari na kujua umuhimu wa kufuata taratibu na sheria mwapo kazini. Jifunzeni mtaelewa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…