Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hayo mambo ni vigumu kuthibitika na ni mazowea ya klabu nyingi afrika [ikiwemo yanga,simba na azam ] kulalamika wanapocheza ugenini.Hakika Sikh za mwizi ni arobaini.Iwapo madai ya Klabu ya Zanaco ya Zambia yatathibitika basi itakuwa ni aibu Kwa Taifa , TFF Na wapenzi wa soka.Klabu ya Yanga imekuwa Na tabia ya kupulizia Dawa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.Hats vilabu vyetu vimekuwa vinalalamika lakini TFF Kwa kuwa Rais wake Na Katibu Mkuu wrote wapo kuhakikisha Yanga inashinda.Tunaomba Zanaco ishinde Rufaa yao.
Acha kuitaja Simba sports club kwenye Mambo ya kijinga!Hayo mambo ni vigumu kuthibitika na ni mazowea ya klabu nyingi afrika [ikiwemo yanga,simba na azam ] kulalamika wanapocheza ugenini.
Ukweli hauwezi kuwa ujinga hata siku moja na kama unabisha angalia archive za magazeti utaona.Acha kuitaja Simba sports club kwenye Mambo ya kijinga!
Hiyo michezo ni ya wauza unga FC!