Kwani mkiwanga hadharani kwenye nchi za watu kiasi cha kutishia kuchoma uwanja aibu huwa ya nani?Na mkipokea timu ngeni na kuwakirimu aibu huwa ni ya nani na nani?
Ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka,Karia ni Rais wa tff atakayeondoka kwa aibu kwenye kiti kuliko ma-rais wote waliowahi kupita tff,time will tell...View attachment 2346940
Chikwende na kahata mmoja alisajiliwa kucheza ligi kuu na mmoja kucheza CAF. Kwa TK na kambole Yanga wanataka TK acheze ligi kuu na kimataifa kambole awe mshabiki. Hauoni kama ni mifano miwili tofauti.Makolo FC mje apa na majibu mkishindwa mtumieni Msomali wenu awasaidie kujibu.View attachment 2346871
Sasa kama mchezaji ni majeruhi je?Chikwende na kahata mmoja alisajiliwa kucheza ligi kuu na mmoja kucheza CAF. Kwa TK na kambole Yanga wanataka TK acheze ligi kuu na kimataifa kambole awe mshabiki. Hauoni kama ni mifano miwili tofauti.
Habib katoka Singida kwenda Simba ilikua ndani ya dirisha la usajili, kambole katoka Yanga kwenda timu gan? TK anachukuaje nafas ya kambole wakati kambole bado yupo hajaacha nafas.
Mimi nadhan hata Sisi mashabiki ni sehem ya tatizo mpira wa Tanzania maana hatutaki kuangalia ukweli halis bila ushabiki. Matokeo yake hata viongoz wa vilabu vyetu wakifanya makosa Sisi tunatetea Tu. Sasa watajifunzaje? Watakuaje makini?
kamati imeshakaa karia out ni suhala la muda tuKwamba Yanga wataiadhibu TFF? au huo mkwara unaochimb kuwa watakipata wanachokitafuta ni kinini?
Hii ndio akili yako imefika mwisho kufikiri?ulimchagua kalia ?wewe na viongozi wako mnaweza kumshitaki wapi karia?juwa mpira kwanza kabla ya kuwa mshabiki itakusaidia .Karia akipenda kuendelea na uongozi wa TFF ataendelea tu mpaka uchaguzi ujao.Na uchaguzi anajua namna ya kushinda ataendelea tu.Karia huu mwaka atoboi akiwa madarakani uwezi kushindana na wananchi ukashinda..