Tatizo uongozi uliopo TFF asilimia 80% ni wanachama Wa yanga hivyo wanaogopa kumuadhibu mwana yanga mwenzaoKwa kweli sasa inatosha. Huyu msemaji wa Yanga amekuwa akiidhalilisha TFF anavotaka kwa kuwafanya TFF kama mazuzu yaani hawajui chochote katika uongozi wa soka. Inavoonekana uongozi wa TFF unamuogopa huyu jamaa kumchukulia hatua za kinidhamu lakini sie wapenzi wa soka tunasononeshwa mno na hali hii. Nimeona niiweke hapa na sio jukwaa la michezo kwa machungu niliyonayo kwa tabia ya huyu jamaa.
si mahaba tu , walishawahi kuwa viongozi wa yanga ...Sasa inaonekana viongozi wa TFF wana mahaba na Yanga.
Yanga wanachama wanadanganywa tuKwakua anasema ukweli sindio?
Yanga ni baab kubwaaaaaYanga wanachama wanadanganywa tu
Eti Yanga ni kubwa kuliko Caf huo ndio upuuzi
Mbumbumbu kweli Jery MuroYanga ni baab kubwaaaaa
Hahahahahaha mwenzio anaenjoy tuMbumbumbu kweli Jery Muro
Kwani CAF hawakosei?Namsikia sasa hivi Clouds FM. Kwa kweli TFF wamchukulie hatua haraka za kinidham sasa hivi. Anaikosoa hata CAF!
Inakutosha wewe, sisi wengine bado.Kwa kweli sasa inatosha
Wasingekuwa mazuzu kweli si wangeshachukua hatua kama kweli wamedhalilishwa? Mbona wewe ndio unawasemea?Huyu msemaji wa Yanga amekuwa akiidhalilisha TFF anavotaka kwa kuwafanya TFF kama mazuzu yaani hawajui chochote katika uongozi wa soka
Si hata wewe unamuogopa ndio maana hujaenda ofisini kwake badala yake umekuja kuomba huruma hapa?!Inavoonekana uongozi wa TFF unamuogopa huyu jamaa
SIE we na nani?lakini sie wapenzi wa soka
Na mtasononeka sana mwaka huutunasononeshwa mno na hali hii
Siku nyingine ukipatwa uchungu, wakunga wapo kwenye vituo vya afya na zahanani, hapa hoja tu!Nimeona niiweke hapa na sio jukwaa la michezo kwa machungu niliyonayo kwa tabia ya huyu jamaa
Huyu jamaa ni mbumbumbu kama alivyosema Mwesigwa
Yanga ndio wana makosa,wameitwa kwenye seminar awajaenda,wametumiwa form ya kusaini awajasaini kwasababu awajui hiyo form inahusu nini,na wangeenda kwenye hiyo seminar wangejua hiyo form namba 5 inahusu nini.Kwani CAF hawakosei?