TFF mnasubiri mpaka mtu afe ndio muwafungie mashabiki wa Yanga kuingia uwanjani?

Mikia mataahira
Na nyinyi mnaojifanya ni Wanaijeria wa Plateau tuwaiteje? Maana kama kesi ni kudeal na mechi isiyokuhusu, basi hata nyie game ya Simba vs Plateau HAIWAHUSU,

Ila inashangaza kwamba tayari mmeshanunu mijezi yao, sema tu mnaona aibu kuivaa sasa baada ya hao wapuuzi wenzenu kupigwa 1 - 0 wakiwa sebuleni kwao.

Nyie ni Makumazani kweli kweli!
 
Mikia mataahira, kubishana na ninyi ni kupoteza muda

Mataahira
 
Mikia mnastress za kulikosa kombe msimu huu...tulieni dawa iwaingie vzr"
 
Hivi kuna athali kama ya kung'oa viti hawa mikia ni watu wa sifa sana mkiambiwa ukweli mnakimbilia polis mkifungwa mnakimbilia polis ni watu wa ajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…