TFF mnawaogopa Yanga?

TFF mnawaogopa Yanga?

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
mbona yanga inakiuka kanuni ligi na mko kimya

Na nyie vodacom na gsm mmekosa wekedi mpaka kukubali nembo zenu kuharibiwa
simba_mpya-___CFHrJimln_a___-.jpg


Sent from my SM-G530T using JamiiForums mobile app
 
Hata TFF kina vikundi viwili. Kimoja Simba kingine Utopolo.
Usitegemee kimaamuzi watatoka na lugha moja.
 
Umeyaleta haya malalamiko kama nani? Mwakilishi wa huyo mdhamini, au! Mbona unapata tabu sana!!! Unapungukiwa nini kwa timu ya Wananchi kutotumia hiyo nembo nyekundu?
 
Hili limekuwa solved muda mrefu.
Why bring the same shit every season?
Mdhamani keshasema hana shida nalo.
 
wamiliki wa Vodacom hapa Tz ni mashabiki wa Yanga na wao wameridhia tena kiroho safiii kabisa, sasa wewe mkia unawashwa washwa na nini?
 
Yanga ni washamba sana,walikuwa wanatamani wamvue huyu Calinya raba zake nzuri nyekundu.
download.jpg
 
wamiliki wa Vodacom hapa Tz ni mashabiki wa Yanga na wao wameridhia tena kiroho safiii kabisa, sasa wewe mkia unawashwa washwa na nini?
Kiongozi, wala hawaitaji kuwa mashabiki. Wanaijua nguvu ya Yanga kwenye soko. Wengine ndiyo wanaketa fyongo.
 
Back
Top Bottom