Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Aende zake tuBos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.
Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.
Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?
Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.
ewaa!Aende zake tu
Iombe kuhamia hata EPLAende zake tu
Bos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.
Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.
Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?
Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.
Hizi blaa blaa za vijiwe vya kahawa peleka face book!
Au Unafikiri huyo Faizal ndiye anajipangia mechi ya kucheza?
Siku zote mpira ni probability, una weka coin pale unapohisi unauwezekano mkubwa zaidi wa kushinda ILA sio lazima kuwa utashinda?
Kabla yake hakukuwa na Ligi?Mjibuni na kumpa adhabu kwa mihemko mtajua hamna ligi kubwa bila pesa za Azam.
Akisema asitishe udhamini na matangazo nawaambia mtaumia zaidi ninyi.
Yeye ataendelea kuonesha waturuki wake na mapanga yao. Anavuta visarafu vya waswahili wenzie.
Ligi ilikuwa na wafuatiliaji na wawekezaji kwenye timu mbalimbali kama sasa?Kabla yake hakukuwa na Ligi?
1. Hata Tanzania ilikuwa na watu milioni 30 sasa ni 70 milion.Ligi ilikuwa na wafuatiliaji na wawekezaji kwenye timu mbalimbali kama sasa?