fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Wewe ni mjinga kabisa,boss wa azam wala hajasema anajitoa,alisema kama tff na bodi ya ligi hawaitaki timu yake basi hashindwi kuitoa na kuipeleka zanzibar na wala hajalitaja tukio la fei,uongo umekuzidi.Alichosema kipo mtandaoni kamsikiliza acha kujamba hovyo hapo,balahau weBos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.
Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.
Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?
Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.
Umeweka maneno yako kuleta ladha mdomoni mwako, mimi ni mdu wa mpira ukiach kazi yangu mahakamani, Usiwe mwongo kama yuyle aliyempa ushindi aliyepata kura yake mwenyewe.Wewe ni mjinga kabisa,boss wa azam wala hajasema anajitoa,alisema kama tff na bodi ya ligi hawaitaki timu yake basi hashindwi kuitoa na kuipeleka zanzibar na wala hajalitaja tukio la fei,uongo umekuzidi.Alichosema kipo mtandaoni kamsikiliza acha kujamba hovyo hapo,balahau we
soma ulichokiandikaUmeweka maneno yako kuleta ladha mdomoni mwako, mimi ni mdu wa mpira ukiach kazi yangu mahakamani, Usiwe mwongo kama yuyle aliyempa ushindi aliyepata kura yake mwenyewe.
Mzee tuwe serious kidogo! Kabla ya udhamini wa Azam Ligi ilikuwa hivi?Kabla yake hakukuwa na Ligi?
Hakuna pengo lisilo zibika.
Hata yeye akifa wanaweza kuja waridhi wakaachana na mpira na Uwanja ukawa Yard ya makonten ambapo infact inalipa kuliko mpira kiingilio ni 2000.
Mbongo na uzushi ni kama chanda na Pete. Ndio Hawa wanakuambia Morocco wamesema wao sio Waafrika. Ukimwambia leta ushahidi anakuletea kitu kingine kabisa.Wewe ni mjinga kabisa,boss wa azam wala hajasema anajitoa,alisema kama tff na bodi ya ligi hawaitaki timu yake basi hashindwi kuitoa na kuipeleka zanzibar na wala hajalitaja tukio la fei,uongo umekuzidi.Alichosema kipo mtandaoni kamsikiliza acha kujamba hovyo hapo,balahau we
Bos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.
Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.
Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?
Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.
soma ulichokiandika
Nitake radhi kijana, mimini mama mwenye wajukuu, mpira nimeanza kufuatilia 1986 nikiwa mwanafunzi shule ya Msingi.Mzee tuwe serious kidogo! Kabla ya udhamini wa Azam Ligi ilikuwa hivi?
Au tuseme umeanza kufuatilia Ligi kipindi hiki cha Azam?