Izo pasi 978 ni ubora wa kocha au ubovu wa dodoma jiji?Nikiwa shabiki kindakindaki wa Simba nakubaliana na wazo lako mwana utopolo kuwa huyu profesa Nabi akabidhiwe timu yetu ya taifa ili izo pasi 978 walizopigiwa dodoma jiji zihamie kwenye timu yetu pendwa ya taifa
Acha wivu mwana Simba mwenzangu, hivi huoni mpira wanaocheza watani zetu Yanga chini ya profesa Nabi? Hauoni ilo wazo litakuwa na manufaa kwa taifa?Izo pasi 978 ni ubora wa kocha au ubovu wa dodoma jiji?
Kolo ww.. Ngoja Leo uzamishwe nyama na AzamSisi kama wana yanga ni kiri tu kuwa tumefikia hatua mbaya sana kwa mawazo haya
Chenga mbili tu tayari tushaanza kumuona kama neymar?
Kipofu kaona mwezi,Dah,,mashabiki wa Uto wanatuaibisha kwakweli.
Kumfunga mgogo ndo mshamuona kocha wenu Zagallo?
Hivi angefungwa Al Ahly au Zamaleck tungekunywa maji ndugu zangu?
Kabla ya kumpa timu ya taifa Nabi kumbuka timu aliyotoka ni Al marrikh ya Sudan alifukuzwa kazi kwa kutoa draw na Simba CAFCL group stage.
Kipimo ni Dodoma jiji? Watanzania tunaelekea kuwa vichaa. Tena 2022 haitatuacha tukiwa salama.Kwanza anawajua wachezaji wa kiAfrica na anafahamu kuwaongoza.
Pili ni kocha na mwalimu wa Mpira ni genius kwenye mifumo na mbinu
Tff kazi kwenuView attachment 2064475
View attachment 2064471
Kwa mawazo haya fans wa bongo mnatia kinyaa mnoKwanza anawajua wachezaji wa kiAfrica na anafahamu kuwaongoza.
Pili ni kocha na mwalimu wa Mpira ni genius kwenye mifumo na mbinu
Tff kazi kwenuView attachment 2064475
View attachment 2064471
Wakati huo Al ahly keshakufa Lupaso.Ilikuwa lazima afukuzwe. Anawezaje kutoshinda kwa Simba
Wachezaji wangapi wa Yanga wanaweza cheza timu ya taifa/Taifa StarsNikiwa shabiki kindakindaki wa Simba nakubaliana na wazo lako mwana utopolo kuwa huyu profesa Nabi akabidhiwe timu yetu ya taifa ili izo pasi 978 walizopigiwa dodoma jiji zihamie kwenye timu yetu pendwa ya taifa