TFF msiwabebe wagombea wenye vyeti feki Kilimanjaro

TFF msiwabebe wagombea wenye vyeti feki Kilimanjaro

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
227
Reaction score
382
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu

Kwanza wamesitisha mchakato huo huku tararibu zote zikiwa zimefanywa ikiwamo usaili wa wagombea pamoja na uhakiki wa vyeti vya elimu

Hata hivyo kusitishwa kwa mchakato huo kumeibua mapya ikiwamo badhi ya wagombea wenye vyeti feki wanaotajwa kuwa na uswahiba na viongozi wa juu wa TFF kupinga ama kugoma kuwasilisha nakala halisi ya vyeti kwa kwa kamati ya uchaguzi kwa ajili ya uhakiki kwenye Baraza la Mitihani la Taifa.

TFF inadaiwa kutaka kuwabeba wagombea amabo hawana vyeti vya kidato cha nne kama katiba ya chama cha soka kilimanjaro inavyotaja sifa za mgombea,sasa hapo ndo patamu wacha tusubiri kama katiba itavunjwa ama la

Tofauti la hao,wenye vyei visivyo na mashaka waliwasilisha nakala halisi ya vyeti vyeti na kwenda kuhakikiwa na wako salama

Mmoja wa wanaodaiwa kugoma kuwasilisha nakala halisi ni Gaga ama kwa jina jingine ni ISAACK ELIAIKA anayedai alisoma sekondari ya Singe huko Babati Manyara na kuhitimu kidato xcha nne mwaka 1991.
Gaga anatajwak uwa karibu na Rais wa TFF ,ndugu Karia na ameahidiwa mambo mengi kama atachaguliwa

INDEX na.SO361-093 anadai alipata daraja 4,kazi kwenu TFF
 
Kweli Huyu Isack Munisi aka Gaga tumemaliza nae Singe Sekondari Head Master akiwa aliyekuwa mbunge na naibu waziri Omar Shaban Qwqa'ng 1991. Labda mleta mada unagombea na wewe hivyo unamuogopa? Pambana acha umama kuja kulialia huku.
 
Kweli Huyu Isack Munisi aka Gaga tumemaliza nae Singe Sekondari Head Master akiwa aliyekuwa mbunge na naibu waziri Omar Shaban Qwqa'ng 1991. Labda mleta mada unagombea na wewe hivyo unamuogopa? Pambana acha umama kuja kulialia huku.
😂😂
 
Back
Top Bottom