Watanzania bwana, watu wanashaabikia mfumo wa wakoloniHata uingereza upo hivi hivi na timu kubwa sometimes zinapokea kichapo. Tujikumbushe kuwa Simba alishawahi fungwa na Green woriorrs na Mashujaa fc katika michuano hii
Tengeneza mfumo wako tuushangileWatanzania bwana, watu wanashaabikia mfumo wa wakoloni
Hii ni round ya ngapi?Huu mfumo ni mzuri. Maana hizo timu za madaraja ya chini, kuna kitu zinajifunza kwa kucheza na timu kubwa. Na hii ndiyo maana halisi ya FA Cup.
NB: Usisahau huu mfumo tumeiga kwa wenye mpira wao.
Hata huku nako ni hivyo hivyo. Hizo timu ndogo huwa zinakutana na timu za Ligi kuu katika hatua ya 32 bora, baada ya zenyewe kwa zenyewe kuchuana katika ngazi za chini. Baada ya mechi za juzi, zimebakia timu 16!Hii ni round ya ngapi?
Navyojua, utanisahihisha kama nimekosea, huko England, round za mwanzo timu ndogo zinaanza kuchujana wao kwa wao, halafu round za baadae kabisa ndo timu ndogo zinaanza kukutana na timu kubwa kubwa. Wanaenda hatua kwa hatua!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Majibu mazuri mkuu, hili limekwishaHata huku nako ni hivyo hivyo. Hizo timu ndogo huwa zinakutana na timu za Ligi kuu katika hatua ya 32 bora, baada ya zenyewe kwa zenyewe kuchuana katika ngazi za chini. Baada ya mechi za juzi, zimebakia timu 16!