Mbumbumbu mna ndotoEndeleeni kushupaza Shingo wanayanga na mwanasheria wenu mbumbumbu.
Mechi Iko palepale, Kama CAS wamelirudisha huku maana yake wameliona ni suala ambalo linamalizwa huku huku chini.
Jichanganyeni, mnyama anapewa Goli Tatu na Pointi Tatu.
lini utakua na akiliUtapata akili lini?
Hiyo nguvu mmeshindwa Ionyesha CASMbumbumbu mna ndoto
Hapa mtaiona nguvu ya Yanga
Rejea historiaWakati anapigania uhuru, Simba alishirikiana na wakoloni?
Timu zote mbili zilipigania uhuru ila Yanga Tanu ilikuwa na watu wenye fikra duni.
Hivyo huendeshwa na propaganda
Rejea historia
Simba ni timu ya wakoloni walianzishwa kupinga Yanga waliokuwa wanafanya harakati za ukombozi
Zamani Simba iliitwa Queens 👑 stars baadae ikaitwa Sunderland ndo likaja jina la Simba au mbumbumbu