TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

Ati maji marefu, pelekeni timu uwanjani vinginevyo mtapokwa points.
 
Wakati anapigania uhuru, Simba alishirikiana na wakoloni?

Timu zote mbili zilipigania uhuru ila Yanga ilikuwa na watu wenye fikra duni.

Hivyo huendeshwa na propaganda
Duhh kumbe hujui Historia mkuu. Simba ilijitenga kutoka yanga ikiwa ni team ya mabwanyenye (Waarabu).
 
Crybaby
 
Hivi wewe Utopolo wa Ngara huoni kwamba utaehuka mwishowe. Uzi wa ngapi huu unafungua kuhusu TFF

MTACHEZA TU MBUZI NYIE
 
Msitupigie kelele kama mmeamua hamchezi acheni mnataka tena bodi ichutame ili iweje...eti maji marefu.
....yani nyie nia mazuzu..
umesahau kule wenye akili ni wawili tu
 
yaani hata hamsumbui.
tunasubiri mmalize mechi zenu.
alafu karia na yeye anakaa kimyaaa.🤣🤣🤣.
bora tupate hasara msimu huu ufutwe.
ila kumbuka mnyama ana mabilion ya CAF yanangoja🤣🤣
 
yaani hata hamsumbui.
tunasubiri mmalize mechi zenu.
alafu karia na yeye anakaa kimyaaa.🤣🤣🤣.
bora tupate hasara msimu huu ufutwe.
ila kumbuka mnyama ana mabilion ya CAF yanangoja🤣🤣
Kombe la akina mama nako Lina mabilion😀😃😂
 
Mna misemo nyie, si mfungue tu kiwanda cha khanga tupate cha kuwavalisha wake zetu?

Uhuru wa Tanzania uliletwa na wenye pesa kina Kahama, Rupia, Kambona na Sykes na hakuna ushahidi wowote na uwezekano ni mdogo sana kuwa hao watu walikuwa mashabiki wa Deportivo de Utopolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…