TFF na bodi ya ligi chutuma, haya maji ni marefu mtazama

Safi uko vizuri!
 
Kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake. Mtaruka ruka Sana mkitulia game iko palepale
 
Nendeni mkajaribu kushitaki KIFA
Mahakama ya mpira wa miguu duniani:
Hizi kelele zinalenga kuwa pumbaza washabiki wao na kuwahada Simba ili wabweteke kucheza?
Tushajua kitambo njama zenu:
 
Umewachana makavu . Watu wasio na upeo wowote waliwezaje kusaidia kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika?
 
Rejea historia
Simba ni timu ya wakoloni walianzishwa kupinga Yanga waliokuwa wanafanya harakati za ukombozi

Zamani Simba iliitwa Queens 👑 stars baadae ikaitwa Sunderland ndo likaja jina la Simba au mbumbumbu
 
Kwani nyie yanga mnaogopa nini kucheza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…