NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji
JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye uwanja mbovu TFF na Bodi ya ligi hawakupinga tamko la jkt Tanzania kubaki katika uwanja mbovu na usiofaa kabisa katika matumizi ya mchezo
SWALI LANGU je ingekua timu nyingine isiyokiua ya jeshi TFF na Bodi ya ligi wangekaa kimya na kutii matamko ya timu kung"ang"ania uwnja mbovu?
TFF na Bodi ya ligi inachangia pakubwa mno kushusha hadhi ya ligi yetu inayofuatiliwa Africa nzima kwa makosa ya kizembe kama haya