TFF na bodi ya ligi mnapokalia kimya huu utumbo unaofanywa na marefa ni dhahiri kuwa mmetoa baraka zote

[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Na bado......!!
 
JIKITE KWENYE HOJA ACHA USHABIKI
 
KAMUONESHE ALIYEKUZAA.
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
 
Punguza ushabiki, angalia Mpira vizuri , wakati beki anamzuia Kibu upande wa kushoto kwake Kuna beki mwingine alikuwa mbele yake ndani ya box lao kufanya marking kama Kibu asingeangushwa! Refa alikuwa sahihi rejea picha za video utaona vizuri lile tukio , sawa kolo wizard? Mmebebwa Leo goli halali la Singapore Big Stars limekataliwa na Sasa inatia kinyaa kuangalia mechi zenu, Simba kwasasa mpira hamjui mnalazimisha ushindi!
Mbio zenu za ubingwa zitaishia jangwani tutaweka full mkoko na kuwakanda ndani nje!

Nawashauri Singida big Stars mkalalamike Fifa ubovu wa TFF kuweka marefa wa msimbazi, Leo mlistahili ushindi mmeonewa msikubali maana mtaonewa Kila mechi na uonevu utaendelezwa Kwa timu zingine underdog!

Kweli Simba mbumbumbu wamejaa mwenye akili mmoja tu Rage the Great Nampa maua yake now now ๐ŸŒบ๐Ÿฅ€๐ŸŒธ๐ŸŒท๐Ÿ๐Ÿ‚๐ŸŒผ๐Ÿ’๐ŸŒท๐Ÿต๏ธ๐Ÿ’ฎ๐ŸŒป
 
Mkuu nashukuru kwa kuliona ilo, yan wanaongea pumba nyingi lkn ilo ulilolisema hawalioni kibu amezuiwa kufunga ilikuwa apewe umeme lkn haikuwa ivyo, mwisho wa siku watu wanalalama tu.
 
Kafungwa singida analalamika utopolo pole sana
 
Dawa ya Simba na Yanga ni kucheza limataifa,kule hakuna mbeleko

Mkuu usijari,tarehe Ishirini Oktoba siyo mbali na makundi kuanzia kuchezwa siyo mbali

Tutaona ni nani anaujua mpira kati ya Simba na Yanga

Kule hakuna bahasha
 
Kwani kuangalia kwako Nani ananufaika? Tunawajua wenye Akili wewe kichwa ni funiko la shingo Tu hilo
 
Bado hawajatoa milio mwaka huu ndo kwaanza treni linachanganya
 
Hamna lolote mlijua simba hatoki liti ila ameshinda na mnajua kabisa ule ndo ulikuwa uwanja kwa simba kudondosha point lakin kapenya na mnajua kuwa kwenye dabi hamtoki kwa minajili hii ni lazima mpate pa kushika ili siku isiende bure.
 
Vipi ile faulo aliochezewa kibu je haikuwa kadi nyekundu ya moja kwa moja kweli!!! Je simba hawawezi kulalamikia maamuzi ya refarii!!
Sikia mkuu kila mmoja ashinde mechi zake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ