NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Bongo siasa nyingiBongo kuna ujinga mwingi kwenye soka letu, kupumzika maana yake nini, tunalia lia sana.
Ulaya unakuta arsenal anakipiga week hii na man city, j5 anacheza uefa tena huenda na timu ngumu, na wikiend anakuwa na gemu nyingine
Naunga mkono hoja mtaniBora ww una akili...yani kisa Yanga kapangiwa leo mikelele wakati Simba anacheza kesho...na jmos anacheza....nimependa sana generalisation yako kwny hizi timu mbili
Naunga mkono hoja 👍👏TFF na Bodi ya ligi mkishakusanya pesa zenu za mapato mkatia kibindoni Basi hamuangalii/hamfikilii ni namna gani wachezaji wamevuja jasho katika mchezo mgumu wa Derby ya kariakoo...
Kama wanafanya hivyo wafanye moja kwa moja siyo kabla ya gemu mnawapa muda mwingi wachezaji wa kujiandaa halafu gemu ikiisha mikausho mikali.Bongo kuna ujinga mwingi kwenye soka letu, kupumzika maana yake nini, tunalia lia sana.
Ulaya unakuta arsenal anakipiga week hii na man city, j5 anacheza uefa tena huenda na timu ngumu, na wikiend anakuwa na gemu nyingine
Wapuuzi hawa huwa wanaipa game mvuto ili wapige pesa vizuri.Kama wanafanya hivyo wafanye moja kwa moja siyo kabla ya gemu mnawapa muda mwingi wachezaji wa kujiandaa halafu gemu ikiisha mikausho mikali
Acha ujinga wewe jumamosi anacheza mechi Gani? Kucheza ni mpaka trh 25 uwe unafatilia mambo sio kukurupuka tuBora ww una akili...yani kisa Yanga kapangiwa leo mikelele wakati Simba anacheza kesho...na jmos anacheza....nimependa sana generalisation yako kwny hizi timu mbili
Hivi mechi za club Bingwa zinaanza limited?Acha ujinga wewe jumamosi anacheza mechi Gani? Kucheza ni mpaka trh 25 uwe unafatilia mambo sio kukurupuka tu
Limited? Umeandika nini mkuuHivi mechi za club Bingwa zinaanza limited?
Kisha wanaendelea na Ratba zao bila kujali wachezaji wamevuja jasho namna Gani katika Derby Yao.Wapuuzi hawa huwa wanaipa game mvuto ili wapige pesa vizuri.
Mkuu ile tarehe 5 ulisema utarudi mida ya saa 1 usiku jukwaani, hukutokea tena mkuu?Bora ww una akili...yani kisa Yanga kapangiwa leo mikelele wakati Simba anacheza kesho na jmos anacheza nimependa sana generalisation yako kwny hizi timu mbili