Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
. Yaan mmefikia hatua ya kutengeneza picha kufunika utumbo wenu Mikia? Kwa Kila alietazama gem ya Jana sifikirii kama anaweza kupoteza muda na utumbo huh.Nasema hivii. "WEKA VIDEO clip"
Picha ndiyo hiyo ila imepigwa angle tofauti, hiyo uloyoiketa ni kwa mujibu wa video ya azam tv. Na hapo alishausogeza mbele kidogo huo mpiraNAHILIIIJE LOHView attachment 1348480
Mbona simpo tu hapo.NAHILIIIJE LOHView attachment 1348480
Siamini kama Raisi wa TFF ni raia wa Nchi hii maana naona haoni hata uchungu wa Soko la Nchi hii kuvurugwa.