Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amunike mkurupukaji kama viongozi wa serekali ya jiwe
Namshauri kocha, wakiwarudisha hao mastaa wao, awaachie li-timu lao asepe zake.Siasa zinatugharimu...hao wachezaji wa Simba na Fei Toto waripoti kwa JPM wakafundwe JKT maana ya uzalendo...Coach aliomba apate angalau siku kumi kukaa na wachezaji ndio maana ratiba ya baadhi ya mechi zikafutwa..Kuwarudisha hao wachezaji ni kudhoofisha kambi...hawana ustar huo..Amunike kanyaga twende watakuelewa tu