TFF na makato ya mechi, nini hatima ya timu?

TFF na makato ya mechi, nini hatima ya timu?

Orkesumet

Member
Joined
Jan 11, 2008
Posts
76
Reaction score
3
Nimeshitushwa na makala mbalimbali kwenye magazeti ya wiki kuhusiana na makato ya mechi mbali mbali kwenye ligi ya vodacom. Mfano katika mechi ya Simba na Yanga, TFF wamechukua Shs 43m ili kufidia gharama za mchezo halafu timu zikaambulia Shs 41m each? Huu si unyonyaji? kwanza ukiangalia watu walijaa zaidi ya viti vya uwanjani, hizo tiketi za ziada zimetoka wapi? Hivi wawakilishi wa timu kwenye TFF hawajaliona hili?
 
Back
Top Bottom