wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..hakuna fala atakayejifanya ana uchungu sana na soka letu na wakati nyie wenyewe hamjielewi..kesho hawapo mtawacheka..ngoja wajichotee za FiFa..
Usilete Utundu Lissu hapa , huyo Rais wa TFF ni zaidi ya Rais wa nchi , waulize Malinzi na Wambura
Mama kashasema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake..hakuna fala atakayejifanya ana uchungu sana na soka letu na wakati nyie wenyewe hamjielewi..kesho hawapo mtawacheka..ngoja wajichotee za FiFa..
Heri ya hao wengine CWT ndiyo kiboko ya wote haoTFF, CWT, CCM! Yaani haya majina yamekaa kifisadi fisadi tu.
Kwa cwt wizi ni wa kiformula zaidi so ni ngumu kuwazinguaUfisadi umerudi kwa kasi nzito mno
Ulienda wapi?Ufisadi umerudi kwa kasi nzito mno